Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck pamoja na Kocha Msaidizi Selemani Matola, leo walipata nafasi ya kutembelea uwanja wa Taifa wa Zimbabwe ambao utatumika Jumatano kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Platinum Fc


ADVERTISE HERE