Mabingwa wakirudi wanaanza na hawa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Dec 2020
Mabingwa wakirudi wanaanza na hawa

Mabingwa wa nchi Simba wako zao Zimbabwe wakisubiri mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Platinum Fc ambao utapigwa Jumatano, Disemba 23

Wakati wakiwa nchini humo kwa ajili ya majukumu ya Kimataifa, jana droo ya raundi ya tatu michuano ya kombe la FA ikafanyika na Simba kupangiwa kuanza na Majimaji ya Songea

Simba ni mabingwa watetezi wa michuano hiyo ambayo msimu uliopita walisepa na taji

Mchezo dhidi ya Majimaji unatarajiwa kupigwa Jumapili, Disemba 27 uwanja wa Benjamin Mkapa

Wakirejea kutoka Zimbabwe, ni wazi machampioni hao wa Taifa watakabiliwa na ratiba ya kucheza mfululizo

Kwani kwenye ligi pia watakabiliwa na michezo mitatu ya viporo dhidi ya Dodoma Jiji, Azam Fc na Namungo Fc kukamilisha duru ya kwanza

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’