Simba kuanza na Majimaji kombe la FA

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Dec 2020
Simba kuanza na Majimaji kombe la FA

Mabingwa watetezi michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), Simba wataanza kampeni ya kutetea taji lao mwishoni mwa mwezi huu katika mchezo wa raundi ya tatu ya michuano hiyo dhidi ya Majimaji

Simba itaikaribisha Majimaji uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo ambao utapigwa kati ya Disemba 25-27 2020

Droo ya hatua hiyo imefanyika leo jijini Dar es salaam

Simba kwa sasa iko nchini Zimbabwe ikiwakilishi nchi kwenye michuano ya ligi ya mabingwa ambapo Disemba 23 watacheza na Platinum Fc huko Zimbabwe

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
47m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’