Disemba 21 litafungwa zoezi la kutolewa fomu kwa ajili ya Wanachama wa klabu ya Simba wanaotaka kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa mabingwa hao wa nchi
Klabu ya Simba imewakumbusha Wananchama wenye sifa kujitokeza sasa kwani hakutakuwa na muda wa nyongeza zoezi hilo litakapofungwa

ADVERTISE HERE