Machampioni wa soka nchini Simba wako Zimbabwe kutimiza majukumu ya Kitaifa ambapo Jumatano ijayo wanatarajiwa kucheza na Platinum Fc katika mchezo wa ligi ya mabingwa
Simba ilitua Zimbabwe mchana wa leo na kupokewa na ubalozi wa Tanzania nchini humo
Balozi Profesa Emmanuel Mbennah ndiye aliyewapokea Wekundu wa Msimbazi kisha kupata nao chakula cha mchana ubalozini
ADVERTISE HERE