Simba kufungua ushirikiano na Mamelodi Sundown

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Dec 2020
Simba kufungua ushirikiano na Mamelodi Sundown

Mtendaji Mkuu wa Simba Barbara Gonzalez jana alikuwa nchini Afrika Kusini akishughulikia masuala mbalimbali yanayoihusu Simba.

Aidha Barabara alikutana na Rais wa klabu ya Mamelodi Sundowns Bw. Patrice Motsepe ambaye pia ametia nia ya kugombea nafasi ya Urais wa Shirikisho la soka Afrika (CAF)

Barbara amesema klabu ya Simba inakusudia kuanzisha ushirikiano na mabingwa hao wa Afrika Kusini

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, Barbara aliandika ujumbe huu;

"Jana nilikuwa na kikao kilichojaa tija na Patrice Motsepe, Rais wa Klabu ya Mamelodi Sundowns na Muanzalishi na Mwenyekiti Rainbow Minerals ya Afrika Kusini"

"Tumeongelea ushirikiano baina ya Klabu zetu, jinsi gani tunavyoweza kuchangia maendeleo ya mpira Afrika. Patrice ni Kiongozi mwenye maono, yanayowaweka watu kama msingi! Namtakia kila la kheri katika safari yake ya kugombea nafasi ya Uraisi CAF"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’