Barbara atangulia Zimbabwe

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Dec 2020
Barbara atangulia Zimbabwe

Wakati kikosi cha Simba kikitarajiwa kuondoka mwishoni mwa wiki kuelekea nchini Zimbabwe kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa dhidi ya Platinum Fc, Mtendaji Mkuu wa mabingwa hao wa nchi Barbara Gonzalez ametangulia Zimbabwe jana

Mchezo dhidi ya dhidi ya FC Platinum utachezwa  Desemba 23, 2020 huko Zimbabwe

Barbara ametangulia kuandaa maandalizi ya mapokezi ya kikosi cha Simba kitakachoondoka nchini mwishoni mwa wiki

Aidha, Mratibu wa Simba, Abbas Selemani pamoja na mpishi Samuel Cyprian wanatarajiwa kuondoka wakati wowote nchini kuungana nae

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’