Akiwa katika msimu wake wa tatu na Simba, mshambuliaji Meddie Kagere jana alifunga bao lake la 50 ligi kuu ya Tanzania Bara
Kagere aliyeibuka kuwa mfungaji bora kwa misimu miwili mfululizo, msimu huu ametupia mabao matano
Msimu wake wa kwanza alifunga mabao 23 na msimu wake wa pili akafunga mabao 22
Kagere aandikisha rekodi kwa kuwa mchezaji wa kwanza wa kigeni kufikisha idadi ya mabao 50 ndani ya misimu miwili na nusu!
ADVERTISE HERE