Ufafanuzi wa TFF kuhusu usajili dirisha dogo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Dec 2020
Ufafanuzi wa TFF kuhusu usajili dirisha dogo

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), mapema leo limetangaza kufunguliwa kwa dirisha dogo la usajili leo Disemba 16 na litafungwa mwakani Januari 15

Taarifa iliyotolewa na TFF, imebainsisha kuwa wachezaji wanaosajiliwa katika kipindi hiki ambao hawana pingamizi, watapewa leseni kuanza kuvitumikia vilabu vyao vipya mara moja

Ina maana Simba leo wanaweza kumtumia kiungo Thadeo Lwanga kama tayari vibali vyake vya kufanya kazi nchini vimepatikana ikiwa ni pamoja na leseni hiyo inayotolewa na TFF

Aidha, kwa mujibu wa TFF, timu zinazoruhusiwa kusajili kipindi hiki ni zile ambazo hazijatimiza kuandikisha idadi ya wachezaji 30

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
34m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’