Simba kukiwasha kombe la Mapinduzi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Dec 2020
Simba kukiwasha kombe la Mapinduzi

Klabu ya Simba imethibitisha ushiriki wake wa michuano ya kombe la Mapinduzi ambayo itafanyika visiwani Zanzibara kuanzia mwishoni mwa mwezi huu Disemba 2020

Jumla ya timu tisa, tano kutoka Tanzania Bara na nne kutoka visiwani Zanzibara, zitashiriki michuano hiyo inayofanyika kila mwaka

Timu zilizothibitisha kushiriki michuano hiyo ni Simba, Azam Fc, Yanga, Namungo, Mtibwa Sugar (mabingwa watetezi), Mlandege, Malindi, Jamhuri na Chipukizi

Mwaka uliopita Simba ilitinga fainali ya michuano hiyo lakini ikapoteza mchezo wa fainali kwa kufungwa na Mtibwa Sugar bao 1-0

Huu ni msimu mwingine kwa Simba kuwapa furaha mashabiki wao kwa kuibuka na ubingwa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
2h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
20h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’