Viingilio mchezo dhidi ya KMC

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Dec 2020
Viingilio mchezo dhidi ya KMC

Mabingwa wa Taifa hili Simba kesho Jumatano wako uwanjani pale kwa Mkapa wakiendelea na kampeni ya kutetea ubingwa wao wa ligi kuu kwa msimu wa nne mfululizo

Kama kawaida, mchezo utaunguruma kuanzia saa moja kamili usiku

Uongozi wa Simba umeweka hadharani viingilio vya mchezo huo VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

Ushindi kwa Simba utaendelea kuwasogeza karibu na nafasi yao, kwani zitabaki alama tano tu!

Mashabiki wa Simba wameaswa kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao kuhakikisha inaondoka na alama zote tatu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’