Lwanga kuivaa KMC

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Dec 2020
Lwanga kuivaa KMC

Kiungo mpya mkabaji wa Simba Thadeo Lwanga kesho Jumatano huenda Wanamsimbazi wakamshuhudia dimbani kwa mara ya kwanza akiwa ndani ya uzi wa Mabingwa katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC

Ifikapo saa sita usiku leo, dirisha dogo la usajili litakuwa wazi, Simba itakuwa na nafasi ya kumuandikisha Lwanga tayari kuanza kuwatumikia wababe hao wa soka nchini

Simba ilimsajili Lwanga akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba na klabu ya Tanta Sport inayoshiriki ligi kuu ya Misri

Amesajiliwa kuchukua nafasi ya Gerson Fraga ambaye hivi karibuni alifanyiwa upasuaji wa goti kutokana na majeraha aliyopata mwanzoni mwa msimu huu

Fraga atakuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya miezi sita hivyo aliruhusiwa kurejea kwao Brazil kusimamia matibabu yake

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’