Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimerejea salama jijini Dar es salaam wakitokea mkoani Mbeya ambako jana waliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya City
Wachezaji watakuwa na siku moja tu ya mapumziko kwani keshokutwa Jumatano watashuka katika uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili KMC ukiwa ni mchezo wa kiporo




ADVERTISE HERE