Barbara akerwa na waamuzi mechi ya Mbeya City

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Dec 2020
Barbara akerwa na waamuzi mechi ya Mbeya City

Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba Barbara Gonzalez amewapongeza wachezaji kwa kufanikiwa kuondoka na ushindi muhimu wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa mkoani Mbeya

Barbara alikuwepo dimba la Sokoine kushuhudia mchezo huo ambao matokeo ya ushindi yameipandisha Simba juu nafasi ya pili

Barbara amewapa kongole wachezaji kwa ushindi lakini ametahadharisha kuhusu mwenendo wa waamuzi

"Mwenendo wa waamuzi Tanzania unachangamoto sana! Mchezo umekuwa wa kufedhehesha kwa timu yetu. Wamecheza vizuri ukiangalia mazingira ya mchezo," amesema

Mwamuzi Martin Saanya aliyechezesha mchezo huo alitupiwa lawama kwa kushindwa kuumudu mchezo

Yapo matukio ambayo mwamuzi alionekana kabisa kuwa na kigugumizi kuchukua maamuzi hasa kwa matukio yaliyokuwa na faida kwa Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’