Simba kamili kuivaa Mwadui FC kesho, Kapombe atahadharisha

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Feb 2018
Simba kamili kuivaa Mwadui FC kesho, Kapombe atahadharisha
Simba inashuka kwenye uwanja wa Kambarage Shinyanga kesho kuumana na Mwadui FC katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 18.

Simba, vinara wa ligi wanasaka ushindi wa saba mfululizo katika ligi kuu ya Vodacom.

Kuelekea mchezo huo, beki wa Simba, Shomari Kapombe amesema kwamba anatarajiwa mchezo huo utakuwa mgumu ila wanahitaji kuibuka na ushindi ili kuendelea kuongoza ligi kwa tofauti ya pointi nyingi

"Kila mechi tunaichukulia kama fainali,tunafanya hivyo ili tuweze kufikia ubingwa ambao kila shabiki ana hamu kuona linatia hilo,"anasema.

Baada ya mchezo huo Simba inatarajiwa kusafiri kwenda Djibouti kwa ajili ya mchezo wa marudiano kombe la Shirikisho dhidi ya Gendarmerie.

Mchezo huo utapigwa Jumanne ijayo, February 20.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’