Simba Queens vs Yanga Princess, Mo Simba Arena leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Dec 2020
Simba Queens vs Yanga Princess, Mo Simba Arena leo

Wababe wa soka la Wanawake nchini Simba Queens leo watakushuka uwanja wa Mo Simba Arena kuchuana na watani zao Yanga Princess katika mchezo wa ligi kuu ya Wanawake

Kocha Mkuu wa Simba Queens Mussa Hassan Mgosi amesema vijana wake wako tayari kuendeleza vipigo dhidi ya watani zao Yanga Princess ambao hawajawahi kupata ushindi wowote dhidi ya Simba Queens tangu kuanzishwa kwa ligi kuu ya Wanawake miaka miwili iliyopita

Mgosi amesema ushindi pekee ambao Yanga Princess watapata pale Mo Simba Arena ni kupunguza idadi ya mabao kwani mara nyingi wameshushiwa vipigo vya mbwa koko kila timu hizo zilipokutana

Mchezo utapigwa kuanzia saa kumi kamili jioni

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’