Nyota saba kuikosa Mbeya City

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Dec 2020
Nyota saba kuikosa Mbeya City

Mabingwa wa Taifa hili Simba wako mkoani Mbeya ambapo kesho Jumapili watashuka uwanja wa Sokoine kuikabili Mbeya City ukiwa ni mwendelezo wa mechi za ligi kuu ya Vodacom

Katika kikosi kilichosafiri Mbeya, nyota saba hawakujumuishwa katika msafara huo ambapo kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck alisafiri na nyota 18 ambao watashiriki katika mchezo huo

Wachezaji waliobaki jijini Dar es salaam ni pamoja na Kennedy Juma, Bernard Morrison, Ibrahim Ajib, Larry Bwalya, Charles Ilanfya na David Kameta ambaye yuko na kikosi cha timu ya Taifa ya vijana U-20

Aidha, kiungo mpya Taddeo Lwanga nae ameachwa jijini Dar es salaam akisubiri kufunguliwa kwa dirisha dogo la usajili kuanza kuitumikia Simba

Sven amesema nyota waliochwa hawana tatizo lolote, amesafiri na wachezaji ambao wako kwenye mpango wake wa mchezo huo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’