Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimeondoka jijini Dar es salaam mchana wa leo Ijumaa kuelekea mkoani Mbeya kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbeya City
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumapili katika uwanja wa Sokoine


ADVERTISE HERE