Kagere awapotezea wachonganishi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Dec 2020
Kagere awapotezea wachonganishi

Mshambuliaji Meddie Kagere amewataka mashabiki wa wadau wa Simba kuwapotezea wanaojaribu kuwaondoa katika malengo yao kwa kuwachonganisha

Kagere ametoa kauli hiyo kukanusha uvumi ulioenea kuwa hana maelewano mazuri na nahodha John bocco baada ya video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii jana

"Nataka niwe muwazi kuhusu hiki kinachoelezwa kuwa sina maelewano na nahodha John Bocco. Ki ukweli sijawahi kuwa na changamoto yoyote na Bocco wala mchezaji yeyote wa Simba"

"Binafsi naamini ni vyema tukaungana kupambana na maadui zetu kuliko kushindana sisi wenyewe. Nawashukuru wote mlioonyesha kuchukizwa na uvumi huu," aliandika Kagere kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Siku za karibuni Kagere amehusishwa katika uvumi wa matukio mbalimbali yaliyotungwa kwa lengo la kumchafua yeye au klabu ya Simba

Mapema leo, nahodha John Bocco naye alikanusha kutokuelewana na Kagere huku akiwashukia baadhi ya wachambuzi walioshiriki kuusambaza

 

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
30m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’