Sven apongeza ushindi dhidi ya Polisi Tanzania

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Dec 2020
Sven apongeza ushindi dhidi ya Polisi Tanzania

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amewapongeza vijana wake kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa jioni ya leo

Sven amesema mchezo huo haukuwa mwepesi kwani wamekutana na moja ya timu zenye safu bora ya ulinzi Polisi Tanzania ikiwa imeruhusu mabao saba tu kabla ya mchezo wa leo

Sven amesema wachezaji walitekeleza kile alichowaelekeza na ndio maana wamefanikiwa kuondoka na alama zote tatu, ushindi ambao walistahili

"Nadhani kwa ujumla tulimiliki sana mpira na mwisho wa mchezo tumeshinda huu mchezo mgumu. Ukiangalia Polisi hawajafungwa magoli mengi lakini tumeweza kufunga magoli mawili na kutengeneza nafasi nyingi. Nimeridhishwa na juhudi ya kila mmoja," alisema Sven

Mabao mawili yaliyofungwa na Clatous Chama katika kipindi cha pili, yameihakikishia Simba ushindi huo muhimu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’