Muda mchache ujao kikosi cha Simba kitakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa kuumana na Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
Meddie Kagere leo ataongoza safu ya ushambuliaji wakati nahodha John Bocco akianzia benchi
Hiki hapa kikosi kinachoanza;

ADVERTISE HERE