Simba kufunguka adhabu ya Kichuya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Dec 2020
Simba kufunguka adhabu ya Kichuya

Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Mwina Kaduguda amesema sakata nyota wao wazamani Shiza Kichuya kufungiwa miezi sita huku wao wakipigwa faini watalitolea ufafanuzi baada ya Bodi yao kukutana.

Jana kulitoka taarifa kutoka Shirikisho la soka Duniani (FIFA) kumfungia Kichuya miezi sita huku Simba ikipigwa faini ya dola 130,000 kwa kuondoka timu ya Pharco ya Misri bila kutoa taarifa kwa uongozi na hakupewa barua ya ruhusa (Release Letter)

Kaduguda amesema Bodi yao yenye watu 17 ikikutana anaamini suala hilo halitakuwa kubwa na amewataka wanachama na wapenzi wa Simba watulie wasubiri maamuzi ya viongozi.

Kiongozi huyo ameongeza kuwa kwenye sakata hilo huenda wao wakawa hawana kosa lolote hivyo watapeleka utetezi wao na kwa uzoefu wake kila kitu kitakaa sawa.

"Hili suala tumelisikia, tunasubiri Mtendaji wetu mkuu alilete kwenye Bodi lijadiliwe na ni matumaini yetu litamalizika vizuri kwakua tuna watu imara wa kufanya hilo," amesema Kaduguda

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’