Simba dimbani bila ya Bwalya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Dec 2020
Simba dimbani bila ya Bwalya

Mabingwa wa nchi Simba leo wanarejea kwenye mikiki mikiki ya ligi wakiwakaribisha Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa moja usiku

Simba inarejea kwenye msako wa taji la nne mfululizo ligi kuu ya Vodacom wakitoka kufuzu raundi ya kwanza ya michuano ya ligi ya mabingwa kwa ushindi wa jumla dhidi ya Plateau United

Mabingwa hao watetezi leo wataingia dimbani bila ya kiungo fundi Larry Bwalya ambaye kocha Sven Vandenbroeck amesema ana matatizo ya kifamilia

Aidha, pamoja na mshambuliaji Chris Mugalu na beki Joash Onyango kupona majeraha yaliyokuwa yanawasumbua, Sven amesema wachezaji hao anaweza akaanza kuwatumia katika mchezo wa Jumapili

Lakini pengine leo Wanamsimbazi watamshuhudia Meddie Kager 'Bull Striker' akianza sambamba na nahodha John Bocco baada ya Wanamsimbazi kumuweka katika presha Sven amtumie Kagere

Tangu kuwasili kwa Kocha Sven, Kagere amekosa mwenendo mzuri wa kuanza kwenye kikosi cha kwanza kukiwa na tetesi kuwa ipo sintofahamu kati yake na kocha Sven

Pamoja na kutumika katika mechi chache, Kagere ameweka kambani mabao manne msimu huu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’