Viingilio mchezo wa Polisi Tanzania

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Dec 2020
Viingilio mchezo wa Polisi Tanzania

Baada ya shangwe la Kimataifa, Burudani ya ndani inarejea kesho Jumatano wakati mabingwa wa nchi Simba wakitarajiwa kumenyana na Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa kuanzia saa moja usiku

Uongozi wa klabu ya Simba umeweka hadharani viingilio vya mchezo huo ambapo kama kawaida VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

Kesho ni mapumziko ya kumbukumbu ya Uhuru wa Tanganyika, hivyo ni siku nzuri kwa Wanamsimbazi kujongea pale kwa Mkapa kupata Burudani kutoka kwa Machampioni wa Taifa hili

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’