Mugalu, Onyango wamepona majeraha

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Dec 2020
Mugalu, Onyango wamepona majeraha

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amethibitisha kuwa wachezaji Chris Mugalu na Joash Onyango wamepona majeraha yaliyowaweka nje kwa wiki kadhaa

Akizungumzia maandalizi ya kikosi chake kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Polisi Tanzania ambao utapigwa kesho Jumatano uwanja wa Benjamin Mkapa, Sven amesema nyota hao wanaweza kujumuishwa katika mchezo huo

Hata hivyo Sven amesema kiungo Larry Bwalya ataendelea kukosekana kutokana na matatizo ya kifamilia

Simba inakamilisha maandalizi yake ya mwisho leo tayari kwa mchezo huo 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’