Baada ya kuzindua jezi kwa ajili ya michuano ya ligi ya mabingwa, Machampioni wa soka nchini Simba wametambulisha fulana zenye kola
Fulana hizo tayari zinapatikana kwenye maduka ya Mawakala rasmi wa klabu ya Simba
Tokelezea kibingwa, kwa kuvaa uzi wa klabu yako pendwa
ADVERTISE HERE