Simba vs Polisi Tanzania kupigwa Jumatano

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Dec 2020
Simba vs Polisi Tanzania kupigwa Jumatano

Baada ya kufanikiwa kufuzu raundi ya kwanza ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika, mabingwa wa nchi Simba watarejea kwenye mikiki mikiki ya ligi kuu Jumatano Disemba 09 watakaposhuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Polisi Tanzania

Mchezo huo wa raundi ya 14 utapigwa saa moja usiku

Pia Simba ina mechi mbili za viporo dhidi ya Dodoma Jiji na KMC ambazo ziliahirishwa kutokana na wababe hao wa soka nchini kushiriki michuano ya ligi ya mabingwa

Mechi hizo zitapangiwa tarehe nyingine

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’