Kituo kinachofuata Platinum Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Dec 2020
Kituo kinachofuata Platinum Fc

Simba imetinga raundi ya kwanza ya michuano ya ligi ya mabingwa kwa ushindi wa jumla wa bao 1-0 dhidi ya Plateau United sasa wakitarajiwa kukutana na mabingwa wa Zimbabwe Platinum Fc

Platinum Fc wametinga raundi ya kwanza kwa ushindi wa jumla wa mabao 4-1 dhidi ya Costa Do sol ya Msumbiji

Kwa mara nyingine, Simba itaanzia ugenini ambapo mchezo wa mkondo wa kwanza utapigwa nchini Zimbabwe Disemba 22-23 kabla ya timu hizo kurudiana jijini Dar es salaam wiki mbili baadae

Ushindi wa jumla kwa Simba utawahakikishia kutinga hatua ya makundi lakini hata ikitokea wasivuke raundi hii, watacheza raundi inafuata ya michuano ya kombe la Shirikisho

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
18h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
21h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’