Wafanyabiashara wachangamkia mauzo ya jezi kwa Mkapa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Dec 2020
Wafanyabiashara wachangamkia mauzo ya jezi kwa Mkapa

Kwa mashabiki ambao hawajaukamata uzi mpya wa Simba kwa ajili ya michuano ya ligi ya mabingwa, wana nafasi ya kununua uzi huo pale uwanja wa Benjamin Mkapa leo ambapo mchezo wa ligi ya mabingwa kati ya Simba dhidi ya Plateau United utapigwa

Wafanyabishara wamejitokeza kwa wingi, nje ya dimba la Mkapa, uzi wa klabu ya Simba umetanda kila kona

Mchezo utapigwa saa 11 jioni lakini taratibu tayari mashabiki wameanza kujongea eneo la tukio..!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
32m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’