Beki mahiri wa Simba Asante Kwasi atakosa mchezo dhidi ya Mwadui FC kutokana na kuwa na kadi tatu za njano.
Imebainika wakati anajiunga Simba akitokea Lipuli FC, Kwasi alikuwa na kadi mbili za njano wakati kadi moja ameipata akiwa Simba.
Simba inaondoka leo kwenda Shinyanga kwa usafiri wa ndege tayari kwa mchezo dhidi ya Mwadui FC utakaopigwa keshokutwa Alhamisi

ADVERTISE HERE