Plateau United wawasili

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Dec 2020
Plateau United wawasili

Timu ya Plateau United kutoka nchini Nigeria imewasili leo kuelekea mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa hatua ya awali dhidi ya wababe wa soka nchini, klabu ya Simba ambao utapigwa kesho Jumamosi uwanja wa Benjamin Mkapa

Mabingwa hao wa Nigeria wana mlima mrefu wa kupanda mbele ya Simba ambayo tayari iko mbele kwa bao 1-0 kufuatia ushindi waliopata kwenye mchezo wa kwanza uliopigwa Nigeria wiki iliyopita

Leo jioni watapewa nafasi ya kufanya mazoezi katika uwanja wa Mkapa ambao utatumika siku ya kesho, mchezo ukitarajiwa kuanza saa 11 jioni

Karibuni bongo, lakini mtatusamehe kesho hamtoki pale kwa Mkapa...!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’