Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Tulia Ackson anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa mchezo wa ligi ya mabingwa kati ya Simba dhidi ya Plateau United
Mchezo huo wa marudiano hatua ya awali, utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 11 jioni
Dk Tulia ataongoza maelfu ya mashabiki wa Simba kwenye mchezo huo wa kukata na shoka
ADVERTISE HERE