Mashabiki maalum wanakata tiketi za Platinum

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Dec 2020
Mashabiki maalum wanakata tiketi za Platinum

Tiketi za Platinum zinapatikana kwa Tsh 150,000/- hizi tiketi maalum kwa mashabiki maalum ambao watapatiwa huduma maalum

Miongoni mwa faida utakazopata kwa kununua tiketi hii ni pamoja na kupatiwa huduma ya chakula na vinywaji kwa muda wote wa mchezo pale uwanja wa Benjamin Mkapa

Kutakuwa na usafiri maalum wa kuwapeleka uwanjani kutokea Serena Hoteli, usafiri huo utasindikizwa na Polisi kuanzia Serena Hoteli mpaka uwanjani

Pia kutakuwa na zawadi mbalimbali watapatiwa ikiwemo jezi mpya za mabingwa hao wa nchi

Ndani ya uwanja watakaa majukwaa ya VIP A

Tiketi hizi zinapatikana kwa kupiga namba 0742771311

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
2h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
20h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’