Changamkia tiketi, utokelezee kibingwa Jumamosi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Dec 2020
Changamkia tiketi, utokelezee kibingwa Jumamosi

Mashabiki wasiozidi 30,000 wataruhusiwa kuingia uwanjani kushuhudia mchezo wa ligi ya mabingwa kati ya mabingwa wa Taifa hili Simba dhidi ya Plateau United

Huu ni mchezo muhimu kwa Wanamsimbazi, ndio maana kila mmoja mwenye nia ya kwenda uwanjani ameaswa kuwahi tiketi mapema

Katika hatua nyingine, TFF imesisitiza kuwa mashabiki wote wa soka hawapaswi kuzuiwa kuingia uwanjani kushuhudia mchezo huo

Hivyo ni wazi Wanamsimbazi ni muhimu kuchangamkia tiketi mapema ili kuhakikisha wengi wanaingia uwanjani

Β 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’