Simba yataja viingilio mchezo dhidi ya Plateau United

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Dec 2020
Simba yataja viingilio mchezo dhidi ya Plateau United

Uongozi wa klabu ya Simba umetaja viingilio vya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Plateau United ambao utapigwa Jumamosi uwanja wa Benjamin Mkapa

Akizungumza na Wanahabari Serena Hoteli mapema leo, Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara ameweka hadharani viingilio vya mchezo huo

Platinum ni Tsh 150,000/-, VIP A Tsh 40,000/-,  VIP B na C Tsh 20,000/- na Mzunguko Tsh 7000/-. Manara amesema tiketi zimeanzwa kuuzwa leo na mashabiki wanaotakiwa kuhudhuria ni 30,000

Manara amebainisha kuwa Jumamosi utapigwa mpira mkubwa, kauli mbinu yake ikiwa ni soka tiki-taka

"Tunakwenda na kauli mbiu ya tiki-taka kwa Mkapa, kila mmoja wetu, mwanasimba ajue kauli mbiu ni tiki-taka kwa Mkapa"

Manara amesema anatarajia kuona mashabiki wa Simba wakijitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao lakini ikitokea kuna mashabiki wa Yanga wamepenya, wasipigwe kwani kwa soka litakalotandazwa, wataondoka wenyewe!

"Ikitokea bahati mbaya mmoja wao amepenya kwenye uwanja kuja kutuzomea asipigwe, pira biriani litakalopigwa linaweza kumtia wazimu mwenyewe akaondoka"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’