Klabu ya Simba imetangaza usajili wa kiungo mkabaji Taddeo Lwanga raia wa Uganda
Lwanga ndiye mrithi wa Gerson Fraga ambaye majeraha yamefupisha maisha yake ndani ya klabu ya Simba
Lwanga kiungo wa Kimataifa wa Uganda, anatua Simba akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba kunako klabu ya Tanta Sc ya Misri


Karibu Msimbazi mwamba...!
ADVERTISE HERE