Simba yatua Shinyanga

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Feb 2018
Simba yatua Shinyanga
Kikosi cha Simba kimewasili salama mkoani Shinyanga tayari kwa kujiandaa na mchezo dhidi ya Mwadui FC

Alhamisi February 15 Simba, vinara wa ligi Kuu, watakuwa ugenini mkoani humo kuivaa Mwadui FC.

Kocha Msaidizi wa Simba Masudi Djuma amesema wamejipanga kuhakikisha wanapata ushindi dhidi ya Mwadui FC ili kuhakikisha wanabaki kileleni kwa tofauti ya alama nyingi dhidi ya wapinzani wao kwenye mbio za ubingwa.

Aidha matokeo ya sare iliyopata Azam FC jana, yanazidi kuiweka Simba katika nafasi nzuri zaidi ya kutwaa ubingwa.

Kwani kama Simba itapata ushindi dhidi ya Mwadui FC itaizidi timu hiyo kwa alama 10
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’