Mabingwa wamerejea kukamilisha dozi ya Plateau United

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Dec 2020
Mabingwa wamerejea kukamilisha dozi ya Plateau United

Kikosi cha Simba kimerejea jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakitokea Nigeria ambako walianza vyema michuano ya ligi ya mabingwa msimu huu kwa kuichapa Plateau United bao 1-0

Baada ya kusafiri kwa siku mbili, mabingwa hao wa Tanzania Bara wamerejea salama kukamilisha maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa marudiano ambao utapigwa Jumamosi, Disemba 05, uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’