Manara kuunguruma Jumatano

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Dec 2020
Manara kuunguruma Jumatano

Msimu wa ligi ya mabingwa ndio umeingia, na mwenye shughuli yake sasa anaanza kutema cheche!

Ni Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Haji Manara, kesho Jumatano atakuwa na Mkutano na Wanahabari

Mkutano huo utafanyika Serena Hoteli kuanzia saa sita kamili Mchana

Manara anatarajiwa kuweka hadharani mikakati kuelekea mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya Plateau United ambao utapigwa Jumamosi, Disemba 05

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’