Kotei, Lwanga kumrithi Fraga

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Dec 2020
Kotei, Lwanga kumrithi Fraga

Habari za kuaminika ni kuwa klabu ya Simba imefanya mazungumzo na kiungo wake wa zamani raia wa Ghana, James Kotei

Kotei sio mgeni ndani ya kikosi cha Simba, kazi aliyoifanya kwa misimu mitatu imeendelea kubaki ndani ya nyoyo za Wanamsimbazi

Inaelezwa usajili wake unasubiri baraka za kocha Sven Vandenbroeck ambaye amehitaji kumfuatilia zaidi

Simba inatarajiwa kusajili kiungo mkabaji atakayechukua nafasi ya Gerson Fraga ambaye ameachwa ili kuuguza majeraha yatakayomuweka nje kwa zaidi ya miezi sita

Simba pia ilifanya mazungumzo na kiungo wa Kimataifa wa Uganda Taddec Lwanga ambaye nae hatma yake bado haijafahamika

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’