Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimeondoka nchini Ethiopia kurejea nchini tayari kwa mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa hatua ya awali dhidi ya Plateau United
Simba ilitua Ethiopia jana usiku wakitokea Nigeria ambako juzi walifanikiwa kupata ushindi muhimu wa bao 1-0 dhidi ya Plateau United
Wababe hao wa soka nchini wanatarajiwa kuwasili uwanja wa Ndege wa KIA saa kumi jioni kisha kuunganisha moja kwa moja jijini Dar es salaam


ADVERTISE HERE