Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Plateau United nchini Nigeria juzi, Simba inarejea nchini kukamilisha ratiba ya hatua ya awali kwa mchezo wa marudiano ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa
Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Disemba 05 kuanzia saa 11 jioni
Mashabiki takribani 30,000 wataruhusiwa kuingia uwanjani. Wanasimba wametakiwa kuwa tayari kuwa sehemu ya historia siku ya Jumamosi
ADVERTISE HERE