Simba kutua Dar Jumanne

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Nov 2020
Simba kutua Dar Jumanne

Baada ya ushindi muhimu wa bao 1-0 dhidi ya Plateau United, mabingwa wa nchi Simba wanaondoka Nigeria leo kurejea nchini tayari kwa maandalizi ya mchezo wa marudiano ambao utapigwa mwishoni mwa wiki

Taarifa iliyotolewa na uongozi wa Simba imebainisha kuwa Simba imeondoka mji wa Jos kuelekea Abuja mapema Alfajiri ya leo Jumatatu

"Safari itaanza alfajiri kutoka Jos hadi Abuja, mchana kikosi kitaondoka Abuja kwenda Addis Ababa, Ethiopia ambapo kitafika usiku na kupumzika hapo. Kikosi kitatua Tanzania (uwanja wa ndege wa Kilimanjaro) siku ya Jumanne saa 10:00 jioni"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’