Simba tayari imeweka mguu mmoja kwenye raundi ya kwanza kombe la shirikisho barani Afrika baada ya kuilaza Gendarmarie mabao 4-0.
Bila shaka Simba itafuzu kwa hatua inayofuata na huenda ikakumbana na Al Masry ya Misri ambayo nayo jana iliilaza Green Buffaloes ya Zambia kwa mabao 4-0.
Michezo ya marudiano inatarajiwa kupigwa Februari 20, huku Simba na Al Masry zikiwa tayari zina mitaji ya mabao manne kila moja.
Simba ina rekodi nzuri dhidi ya timu za Misri hivyo haitakuwa na shida kupambana na mafarao hao.

ADVERTISE HERE