Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo waipata nafasi ya kujifua kwenye uwanja wa New Jos ambao utatumika kesho katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Plateau United
Ni mchezo wa hatua ya awali, Simba ikianzia ugenini Nigeria katika mchezo utakaopigwa kuanzia saa 12 jioni








ADVERTISE HERE