CAF yaruhusu mashabiki kushuhudia mechi za Simba, Namungo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Nov 2020
CAF yaruhusu mashabiki kushuhudia mechi za Simba, Namungo

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limethibitisha kuwa Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) imeruhusu mashabiki wa soka nchini kuingia viwanjani kwa asilimia 50 kushuhudia mechi za Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho

Ni baada ya TFF kuwaomba CAF waruhusu mashabiki kuingia uwanjani kwa kuwa hapa nchini hakuna tishio la ugonjwa wa corona

Hivyo mashabiki 30,000 wataruhusiwa kuingia uwanjani kushuhudia mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa kati ya Simba dhidi ya Plateau United ambao utapigwa wiki ijayo

Aidha mashabiki pia wataruhusiwa leo kushuhudia mchezo wa kombe la Shirikisho kati ya Namungo Fc dhidi ya Al Rabita ambao unapigwa leo uwanja wa Azam Complex kuanzia saa moja usiku

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’