Namungo kuanza na Al Rabita leo, Simba kesho

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Nov 2020
Namungo kuanza na Al Rabita leo, Simba kesho

Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Simba na Namungo Fc wikiendi hii wako viwanjani kusaka matokeo muhimu yatakayowavusha hatua ya awali ya michuano hiyo

Namungo Fc leo watashuka uwanja wa Azam Complex, Chamazi kuikabili Al Rabita kutoka Sudan Kusini katika mchezo wa kwanza wa hatua ya awali michuano ya kombe la Shirikisho

Huu ni mchezo muhimu kwa Namungo Fc kuhakikisha wanapata matokeo ambao yatawasaidia kwenye mchezo wa marudiano waweze kutinga raundi ya kwanza

Aidha, mabingwa wa nchi Simba wao watasubiri hadi kesho Jumapili wakiwa ugenini Nigeria kuikabili Plateau United katika mchezo utakaopigwa saa 12 jioni

Kila la kheri Namungo Fc, kila la kheri Simba katika majukumu ya kupeperusha bendera ya nchi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’