Simba yaenda Jos kwa Ndege

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Nov 2020
Simba yaenda Jos kwa Ndege

Klabu ya Simba imeondoka mchana huu wa Ijumaa, jili la Abuja kwenda Jos tayari kwa mchezo dhidi ya Plateau United ambao utapigwa Jumapili

Mabingwa hao wa nchi wametumia usafiri wa anga kutokana na hali ya usalama isiyoridhisha kwa usafiri wa barabara

Taarifa iliyotolewa na Simba mapema leo, imethibitisha kuwa mabingwa wanasafiri kwenda Jos kwa ndege, mji ulio umbali wa taribani kilomita 240 kutoka Abuja

"Leo mchana kikosi kitaondoka kwa ndege jijini Abuja, Nigeria kwenda mji wa Jos ambako ndio utachezwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Plateau FC ambao utapigwa siku ya jumapili Novemba 29, 2020 kuanzia saa 10:00 jioni (saa 12:00 jioni - Tanzania)," ilisema taarifa iliyotolewa na Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
30m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’