Simba kwenda Jos kwa tahadhari

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Nov 2020
Simba kwenda Jos kwa tahadhari

Msafara wa kikosi cha Simba unaondoka leo Abuja kuelekea Mji wa Jos ambao mchezo wao wa kwanza ligi ya mabingwa dhidi ya Plateau United utapigwa keshokutwa Jumapili

Simba inatarajiwa kutumia usafiri wa Ndege kutokana na usalama mdogo wa usafiri wa barabara

Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Dk Benson Bana alitembelea kambi ya Simba Abuja jana na akaweka msisitizo kuwa ni vyema msafara ukaenda Jos kwa usafiri wa Ndege

Mji wa Jos uko umbali wa takribani Kilomita 240 kutoka Abuja

Mpakani mwa Mji huo kumekuwa na matukio mengi ya utekaji yakifanywa na kundi la Bokoharam

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’