Simba yajifua chini ya ulinzi mkali Abuja

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Nov 2020
Simba yajifua chini ya ulinzi mkali Abuja

Uongozi wa Simba umeeleza kupokelewa vizuri nchini Nigeria na watahakikisha timu inakuwa katika usalama muda wote

Ulinzi kwenye kambi ya Simba umeimarishwa kutokana na hali ya usalama wa nchi hiyo

Kikosi cha mabingwa hao wa nchi kiliwasili nchini Nigeria jana. Mratibu wa Simba, Abas Ally alitangulia mapema kuweka mipango sawa.

Mratibu huyo amesema kuwa mazingira ya Nigeria ni mazuri na alipata ushirikiano mkubwa kutoka chama cha soka cha nchini Nigeria.

Aliongeza kuwa usalama wa hali ya Jos inaeleweka kuwa haipo sawa kwa wageni ambao wanafika ila kwa wenyeji wao wanaona kila kitu kinakwenda sawa

Taarifa iliyotolewa na Simba mapema leo ilieleza kuwa kikosi leo kitaanza rasmi mazoezi AbujaΒ  kujiandaa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Plateau FC ambao utapigwa siku ya jumapili, Novemba 29, 2020 kwenye uwanja wa New Jos uliopo mji wa Jos kuanzia saa 10:00 jioni (saa 12:00 jioni - Tanzania)

Mapema leo, Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Dk Benson Bana alitembelea kambi ya klabu ya Simba iliyoko Abuja

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Kikosi : Fountain Gate vs Simba, NBC PL, Oct 29
Kikosi : Fountain Gate vs Simba, NBC PL, Oct 29
13m ago
READ MORE β†’
Kamati ya uchaguzi Simba imesisitiza, mchakato unaendelea
Kamati ya uchaguzi Simba imesisitiza, mchakato unaendelea
23m ago
READ MORE β†’
Mangungu aibuka, apinga mchakato wa uchaguzi Simba
Mangungu aibuka, apinga mchakato wa uchaguzi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
3h ago
READ MORE β†’
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
5h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
1d ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
1d ago
READ MORE β†’